Call us today +255733858001 | +255733858002

Mkuu wa Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere Prof. Marcellina Mvula Chijoriga amesaini kitabu cha maombolezo 

Posted on: 17 Jul 2022

Mkuu wa Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere Prof. Marcellina Mvula Chijoriga amesaini kitabu cha maombolezo tarehe 13 Julai, 2022 katika Ubalozi wa Angola Jijini Dar es Salaam kufuatia kifo cha Aliyekuwa Rais Mstaafu wa Angola Komredi José Eduardo dos Santos, kilichotokea Ijumaa, Julai 8, 2022. nchini Hispania.