Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere

Mgahawa

Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere (MJNLS) inatoa huduma za kisasa za mikutano, zenye uwezo wa kuchukua hadi watu 600, pamoja na mifumo ya kisasa ya mikutano ya mtandaoni. Majengo haya ya mikutano yamewekewa teknolojia ya kisasa ya sauti na picha (audio-visual), pamoja na huduma ya intaneti ya kasi ya juu, ambayo huwezesha ushiriki wa mtandaoni bila usumbufu kwa washiriki walioko mbali. Hii inazifanya kuwa sehemu bora kwa matukio ya mseto (ya ana kwa ana na mtandaoni kwa wakati mmoja).

<p>Migahawa&nbsp;ya shule yetu hutoa aina mbalimbali za vyakula vyenye lishe bora pamoja na chaguzi mbalimbali za sehemu za kula kulingana na ukubwa wa kikundi.</p>

<p>Chumba cha watu mashuhuri (V.I.P) hutoa huduma ya kipekee ya chakula kwa wageni mashuhuri hadi 10.<br />
Kwa makundi madogo au chakula cha pamoja cha timu, Chumba cha Kati kina uwezo wa kuchukua hadi watu 50.<br />
Ukumbi Mkuu wa Chakula, ambao ni mpana, unaweza kuhudumia hadi wageni 300, hivyo kuufanya kuwa mahali muafaka kwa makundi makubwa na hafla mbalimbali.</p>

Fahamu Huduma na Mazingira ya Mgahawa Wetu

Mgahawa wa chakula unatoa aina mbalimbali za vyakula vyenye lishe bora na unajumuisha chaguo kadhaa za sehemu za kulia chakula ili kukidhi makundi yenye ukubwa tofauti:
Ni mgahawa mkubwa wenye uwezo wa kuchukua hadi watu 300,unaweza hudumia makundi makubwa ya watu na matukio.
A large dining area with a capacity of 200, catering to larger groups and events.
A large dining area with a capacity of 50, catering to larger groups and events.